Kila asubuhi Millard Ayo atazisogeza karibu yako habari zote kubwa kutoka kwenye Magazeti mbalimbali ya Tanzania ambapo huwa naziweka kwenye page ya Twitter ya @millardayo na kwenye Youtube ya millardayo bila kusahau millardayo.com.
Hizi hapa chini ni zile kubwa kutoka kwenye Magazeti ya Tanzania leo January 03 2017 ambapo mojawapo ni kutoka gazeti la Mtanzania kuhusu mkoa wa Simiyu kuanza kuonja matunda ya kumiliki viwanda, baada ya kuingia makubaliano ya kuiuzia Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar ‘SMZ’ Chaki kwa ajili ya matumizi ya shuleni.
Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Antony Mtaka amesema tayari makubaliano ya uuzaji wa chaki hizo yamekamilika. Aidha amesema pamoja na mafanikio hayo tayari mikoa mingine kama mwanza na Shinyanga imekubali kuja kununua kwao
#MTANZANIA Simiyu imeanza kuonja matunda ya kumiliki viwanda, yaingia makubaliano ya kuiuzia Z'bar chaki kwa ajili ya matumizi ya shuleni pic.twitter.com/QUj3U3QXHB
— millardayo (@millardayo) January 3, 2017
Unaweza kuipitia hapa chini habari nyingine kubwa kutoka magazeti ya Tanzania leo January 3 2017
#MWANANCHI Rais Magufuli amesema kuanzia sasa shule ya Sekondari Omumwani iliyokuwa inamilikiwa na CCM itakuwa chini ya Serikali pic.twitter.com/nwhojPraQU
— millardayo (@millardayo) January 3, 2017
#MWANANCHI Mkulima wa tumbaku afunga safari kutoka Urambo mpaka Bukoba na kufanikiwa kumuona Rais Magufuli pic.twitter.com/gP6Dd7ynQK
— millardayo (@millardayo) January 3, 2017
#MWANANCHI Madereva bodaboda Mbulu Manyara, wametakiwa hadi Januay 31 wawe na leseni za kuendesha pikipiki vinginevyo watachukuliwa hatua pic.twitter.com/9GDig7nodV
— millardayo (@millardayo) January 3, 2017
#MWANANCHI TANESCO mkoa wa Arusha imetangaza kupata hasara ya zaidi ya mil 270 kutokana na wizi wa nishati hiyo pic.twitter.com/aMhLQUnIaJ
— millardayo (@millardayo) January 3, 2017
#MWANANCHI Wema Sepetu amewashangaza mashabiki wake baada ya kufuta kila kitu ktk akaunti yake ya instagram January mosi mwaka huu pic.twitter.com/XRDE0aX9vu
— millardayo (@millardayo) January 3, 2017
#MWANANCHI Waziri Muhongo ataka wanaohitaji umeme haraka wilayani Butiama waende kuonana na meneja TANESCO mkoa wa Mara na kulipia 177,000 pic.twitter.com/P6NeY7s7uR
— millardayo (@millardayo) January 3, 2017
#MTANZANIA Rais Magufuli amesema Serikali haitamjengea nyumba mtu aliyeathirika na tetemeko la ardhi Bukoba kwa sababu sio jukumu lake pic.twitter.com/NCsuzoa6BX
— millardayo (@millardayo) January 3, 2017
#MTANZANIA Mtu mmoja Mwanza afariki dunia mkesha wa mwaka mpya baada ya kudaiwa kunywa pombe za kienyeji kupita kiasi pic.twitter.com/qJZ7WzgHEj
— millardayo (@millardayo) January 3, 2017
#MWANANCHI RC Morogoro asema chanzo cha migogoro ya wakulima, wafugaji mkoani humo ni uwepo wa mifugo mingi kupita uwezo wa eneo la malisho pic.twitter.com/4cCMPfmj9h
— millardayo (@millardayo) January 3, 2017
#MTANZANIA Mtoto amuua baba yake kwa kitu chenye ncha kali Songea na kutaka kuufukia mwili kwenye shimo alilochimba ndani ya nyumba yao pic.twitter.com/WNoWJW0v82
— millardayo (@millardayo) January 3, 2017
#MTANZANIA 'Rais Magufuli ana kasi ambayo msiokuwa na mbio mtapiga pua chini'-Dk. Getrude Mongella pic.twitter.com/bwaEewVkDM
— millardayo (@millardayo) January 3, 2017
#MTANZANIA Simiyu imeanza kuonja matunda ya kumiliki viwanda, yaingia makubaliano ya kuiuzia Z'bar chaki kwa ajili ya matumizi ya shuleni pic.twitter.com/QUj3U3QXHB
— millardayo (@millardayo) January 3, 2017
#HabariLEO Rais Magufuli asema baada ya tetemeko Kagera aliahirisha safari ya kikazi nje na kuteua mawaziri 6 akiwemo waziri mkuu kufuatilia pic.twitter.com/fzeX9ERFXu
— millardayo (@millardayo) January 3, 2017
#HabariLEO TFF imeachana na kocha wa timu ya Taifa, Charles Mkwasa na imemteua Salum Mayanga kuwa kocha wa muda pic.twitter.com/rcPnpn4vKR
— millardayo (@millardayo) January 3, 2017
#HabariLEO Majambazi yapora kiasi cha fedha kinachokadiriwa kuwa zaidi ya mil 25 ktk makutano ya barabara ya Mandela na Nyerere TAZARA DSM pic.twitter.com/S5eu4085en
— millardayo (@millardayo) January 3, 2017
#NIPASHE Waziri Mwakyembe amesema kuanzishwa kwa divisheni maalum ya makosa ya rushwa na ufisadi ktk mahakama kuu kumewatisha mafisadi pic.twitter.com/DdeEmwk6AU
— millardayo (@millardayo) January 3, 2017
#NIPASHE Askari watatu wanyamapori, pori la akiba Swagaswaga Kondoa wadaiwa kumuua mwendesha bodaboda kwa risasi, madai ya kubeba nyama pori pic.twitter.com/FRczsVy2tN
— millardayo (@millardayo) January 3, 2017
#NIPASHE Matukio ya mauaji mkoani Morogoro yamepungua kutoka 160 mwaka 2015 hadi kufikia 154 mwaka jana pic.twitter.com/LqoGH0QQk9
— millardayo (@millardayo) January 3, 2017
#NIPASHE Mamia ya abiria kutoka DSM kuelekea mikoa ya bara wamekwama Morogoro baada ya njia ya reli kuzibwa na treni ya mizigo iliyoharibika pic.twitter.com/HjYCLP7fOh
— millardayo (@millardayo) January 3, 2017
#UHURU Rais Magufuli avunja kamati ya maafa Kagera, aagiza matumizi yote ya fedha yafuatiliwe, awaweka kiporo walioahidi kuchangia pic.twitter.com/EmYiFIyxaB
— millardayo (@millardayo) January 3, 2017
#NIPASHE Raia wa Norway amefariki dunia ktk eneo la kambi ya Simba iliyopo Rongai baada ya kuugua ghafla wakati akipanda mlima Kilimanjaro pic.twitter.com/4rfc9VHaDJ
— millardayo (@millardayo) January 3, 2017
#UHURU Mkazi wa DSM apandishwa kizimbani ktk mahakama ya wilaya ya Ilala, akikabiliwa na makosa mawili, likiwemo la kughushi tiketi ya ndege pic.twitter.com/YM6lfq9UIH
— millardayo (@millardayo) January 3, 2017
#UHURU Olivier Giroud asema hakutarajia kufunga bao la mwaka kwa staili ya scorpion kick dhidi ya Cryastal Palece, Arsenal ilishinda 2-0 pic.twitter.com/EBF14YMECR
— millardayo (@millardayo) January 3, 2017
#JamboLEO Mahakama kuu TZ imetupilia mbali kesi iliyofunguliwa kupinga sheria ya mtandao baada ya kuona hoja zilizowasilishwa hazina msingi pic.twitter.com/jkTF90onsB
— millardayo (@millardayo) January 3, 2017
#JamboLEO Serikali imetenga bil 64 zitakazogawanywa kwenye hospitali kadhaa nchini kwa lengo la kuboresha huduma ya afya pic.twitter.com/AF7pMVeKAE
— millardayo (@millardayo) January 3, 2017
#JamboLEO Diego Costa akiri kuwa alikaribia kuondoka Chelsea na kutaka kurejea Atletico Madrid ya Hispania kabla ya kuanza msimu wa 2016-17 pic.twitter.com/pl1SIm9GyD
— millardayo (@millardayo) January 3, 2017
AyoTVMAGAZETI: Kila mtu asema lake kutimuliwa bosi Tanesco, Aliyechomwa mkuki atoa maneno mazito
unazitaka Breaking NEWS na Stori zote? ungana na Millard Ayo kwenye Facebook Twitter Instagram na Youtube na atakuletea matukio yote ya picha, video na habari iwe usiku au mchana…. bonyeza hapa >>> FB Twitter Instagram YouTUBE