Kwenye Exclusive interview na Ayo TV leo tunaye Staa kutoka katika kiwanda cha burudani ya Bongo Fleva Barnaba Boy ambaye amekubali kushare mambo mbalimbali kuhusu harakati zake lakini kubwa zaidi ni kauli yake kwa watanzania ambao wanatumia vibaya mitandao ya kijamii nay eye akiwa kama balozi wa mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA )
Barnaba amesema…>>“Vijana wajitambue katika nafasi zao na sisi kama Serikali tupo macho na hatutamchekea yeyote anayetumia vibaya mitandao ya kijamii, hii hatuwaambii kwa kuwatisha ila tutawashugulikia”
Lugola “Nataka mahabusu za Polisi ziwe za Majambazi, dhamana iwe Saa 24”