Kuelekea kuanza kwa msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania bara msimu wa 2019/2020, Jumamosi hii saa moja usiku uwanja wa Taifa Dar es Salaam utachezwa mchezo wa Ngao ya Hisani kati ya Simba SC dhidi ya Azam FC, kuelekea mchezo huo kocha msaidzi wa Simba SC Mohammed Mwalami.
“Kwa namshukuru mwenyezi Mungu kwakuwa niko salama hadi hivi sasa maandalizi yanakwenda vizuri tu tulikuwa kwenye Pre Season yetu Afrika Kusini, huu mchezo tumejiandaa na kesho pia kuchukua (Ngao ya Jamii) ila tunakabiliwa na majeruhi wapo kama watatu Ajib, Manula pamoja na Da Silva”>>> Mwalami
poVIDEO: MWALIMU KASHASHA KATOA TATHMINI KWA YANGA HII DHIDI YA TOWNSHIP ROLLERS