Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya na waweza kuzipata huko.
#MWANANCHI Mwanafunzi shule ya sekondari Lumo Temeke apigwa na wananchi kiasi cha kufikiriwa amekufa na kupelekwa mochwari ambako alizinduka pic.twitter.com/mQePhlD8aM
— millardayo (@millardayo) October 19, 2016
#MWANANCHI Mbunge wa Makete, Prof. Sigalla asema si mil 23 zilizoingia kwenye akaunti yake bali ni mil 5 ambazo zilikuwa hazieleweki pic.twitter.com/YIL6m3eXQF
— millardayo (@millardayo) October 19, 2016
#MWANANCHI Watoto wa meya wa zamani wa jiji la DSM , Dk. Didas Massaburi wamesema hawana mgogoro wa kifamilia kama wengi wanavyodhani pic.twitter.com/vFNHPjGq0z
— millardayo (@millardayo) October 19, 2016
#JamboLEO Uhakiki vyeti bandia sasa kuibua wabunge, watafiti wa wasifu wa wabunge wabaini kuwa wengi hawapendi kueleza taaluma walizosomea pic.twitter.com/n5cHI24QwN
— millardayo (@millardayo) October 19, 2016
#JamboLEO Jeshi la Polisi TMK linawashikilia wazazi wa vijana wa 'panya road' 11 kwa tuhuma za kukiuka sheria ya malezi ya watoto wao pic.twitter.com/PrGjWwWbSh
— millardayo (@millardayo) October 19, 2016
#NIPASHE Polisi Arusha wazima balaa kubwa ambalo lingeweza kutokea kutokana na majibishano makali ya maneno kati ya Mbunge Lema na RC Gambo pic.twitter.com/JnAXEP7kXU
— millardayo (@millardayo) October 19, 2016
#NIPASHE Tanzania inashikilia nafasi ya 13 kwa utoaji wa mikopo ktk nchi za Afrika zilizoko ktk ukanda kusini mwa jangwa la sahara pic.twitter.com/mn0MsuDS9P
— millardayo (@millardayo) October 19, 2016
#NIPASHE Polisi Dodoma imesema itahakikisha kila mtu aliyehusika na mauaji ya watafiti watatu anakamatwa na kufikishwa mahakamani pic.twitter.com/ubE8IpAg9q
— millardayo (@millardayo) October 19, 2016
#NIPASHE Hali tete vyuo vikuu baada ya bodi ya mikopo kutoa orodha ya wanafunzi 3,966 watakonufaika na mikopo kati ya 58,000 watakaojiunga pic.twitter.com/YqyuDegoTw
— millardayo (@millardayo) October 19, 2016
#NIPASHE Imeelezwa kwamba kuna changamoto nyingi kwa watoto wa wakulima wanaopata mikopo vyuoni, baadhi hutumia kuwasomesha wadogo zao. pic.twitter.com/7A3p6AjEGL
— millardayo (@millardayo) October 19, 2016
#NIPASHE Wamiliki wa makontena 46 kati ya 100 yaliyodaiwa kuondolewa bandari ya DSM bila utaratibu, wamejisalimisha. pic.twitter.com/Ms4knLYdn7
— millardayo (@millardayo) October 19, 2016
#MWANANCHI Wananchi Arusha washuhudia siasa zikivuruga uzinduzi wa mradi wa bil 9 baada ya majibishano kati ya mbunge Lema na RC Gambo pic.twitter.com/KaVEIyZ94y
— millardayo (@millardayo) October 19, 2016
#MWANANCHI Siku chache baada ya tetemeko, wakazi wa Misenyi Kagera wamejikuta wameingia kwenye mtihani mwingine baada ya kutokea upepo mkali pic.twitter.com/KDzmOTlss4
— millardayo (@millardayo) October 19, 2016
#MWANANCHI Kamati ya bunge yaikataa taarifa ya Waziri Mwijage kuhusu utekelezaji malengo ya sekta ya viwanda, biashara wakidai imejaa porojo pic.twitter.com/z1DZAUNp5f
— millardayo (@millardayo) October 19, 2016
#HabariLEO Serikali imetoa bil 80 kwa ajili ya malipo ya mikopo kwa mwanafunzi wa elimu ya juu wanaoanza na wanaoendelea na masomo pic.twitter.com/q6Bl3XDpv8
— millardayo (@millardayo) October 19, 2016
#HabariLEO Meli mpya mbili za mizigo zinazoendelea kujengwa ktk bandari ya Itungi Kyela mkoani Mbeya kukamilika ifikapo mwisho wa mwezi huu pic.twitter.com/8Bjm0yEWVU
— millardayo (@millardayo) October 19, 2016
#MTANZANIA RC Gambo azomewa na wananchi wakati wa uzinduzi wa hospitali Arusha alipozungumzia mradi na kudaiwa kupotosha ukweli wa mradi huo pic.twitter.com/ciRt5kWpqx
— millardayo (@millardayo) October 19, 2016
ULIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI KUTOKA AYO TV OCTOBER 19 2016? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI