Tayari uongozi mpya chini ya Rais Dk. John Magufuli umeanza kazi..ikiwa ni siku chache baada ya uteuzi wa Waziri mkuu Majaliwa Kassim kupewa madaraka, yapo mambo mengi ambayo tayari ameanza kuyatekeleza.
Jana jioni kwenye ofisi ya waziri mkuu kulikuwa na hafla fupi ya makabidhiano kati ya waziri mkuu mstaafu Mizengo Pinda ambaye alimtembelea Waziri mkuu mpya ikiwa ni pamoja na kumkabidhi ofisi.
Hapa ninazo baadhi ya picha wakati wa makabidhiano hayo..
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line yatiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram naYouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE