Leo July 3,2018 tunayo story kutokea Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) ambapo kimetaka Watanzania kutumia fursa ya msaada wa kisheria unaotolewa bure na chama hicho.
Pia chama hicho kimebainisha kuwa miongoni mwa kesi kubwa zinazofika kwenye chama hicho ni migogoro ya ardhi.