Headlines za mti uliodaiwa kuwa wa maajabu Mwanza bado zingali zinatrend kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii hasa baada ya mti huo kudaiwa kuwa umewahi kuongea na kugoma kukatwa ingawa tayari umeshakatwa.
New story leo May 17, 2017 kuhusu mti huo ni mtu ambaye anadai kuwa huwa anawasiliana na Mungu na kumpa uwezo wa kutibu magonjwa mbalimbali huku akidai kuna vitu ameviona kwenye hilo tukio.
Ayo TV na millardayo.com zimekutana na mtu huyo ambaye ameamua kufunguka kila katika video hii ambayo unaweza kutazama kwa kubonyeza PLAY…
MAAJABU: Mti umekuwa gumzo baada ya kugoma kukatwa, Mwanza…