January 14, 2018 Mbunge wa Jimbo la Tabora Kaskazini Almas Maige anakusudia kupeleka hoja binafsi Bungeni kulitaka Bunge kuridhia kubadilisha kipengele katika Sera ya Elimu ya mwaka 2014 kinachokinzana ili Kiswahili kitumike kama lugha ya kufundishia.
“Sera ya elimu ya mwaka 2014 inapotosha kipengele namba 3.2.19 tamko dogo lenye mistari mitatu kifungu kidogo hiki kinakinzana na kifungu kikubwa haijulikani kwanini walifanya hivi, tutanataka Kiswahili kitumike kama lugha ya kufundishia” Almas Maige
WAZIRI UMMY KASHINDWA KUVUMILIA ALIPOSIKIA NGOMA ZA KWAO TAZAMA ALIVYOCHEZA