Mbunge wa Siha ambaye alikihama chama chake CHADEMA kisha kuhamia CCM Dr Godwin Mollel amesema kuwa kuna baadhi ya watu wamekuwa wakiikosoa Serikali ya awamu ya tano kwa kudai kuwa imeshindwa kusimamia mambo yake vizuri na kuwaongoza watanzania.
Dr Mollel amesema…>>>“Hapa tunazungumzia suala la utawala bora na kuna watu wanatokwa mapovu kwa ajili ya kuonesha kwamba Serikali iliyopo madarakani imeshindwa kufanya mambo”
Kilichojadiliwa Bungeni leo kuhusu mtoto Anthony Petro