Wanakijiji katika kijiji cha Seruka kilichopo wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma wamezua taharuki baada ya kujichangisha Tsh 10,000 na kuwaleta watu ambao wanaamini wangewasaidia kubaini wachawi wanaokwamisha maendeleo katika kijiji hicho ikiwemo upatikanaji wa maji.