Kufuatia kuwepo kwa tatizo la mazao ya chakula katika baadhi ya maeneo katika huku baadhi ya wakulima pia kushindwa kunufaika na mazao wanayozalisha, hili pia halijawa jambo geni katika wilaya ya Kongwa ambapo August 3 2106 mkuu wa wilaya Deogratius Ndejembi alipoamua kupiga marufuku wafanyabiashara kuingia vijijini kununua mazao.
‘Jambo la kwanza kuanzi sasa ni marufuku kwa mfanya biashara yeyote kuingia vijiji vya ndani kununua mazao na akikamatwa afungwe hadi mimi niseme atoke ‘ –Deogratius Ndejembi
‘Lapili nasitisha biashara yote ya mahindi, na viongozi husika mkishindwa kusimamia tutagombana‘ –Deogratius Ndejembi
‘Lakini pia jambo la tatu ni kwamba biashara yote ya mahindi ihamie katika eneo jengo lililojengwa kwa ajili ya kuuzia na kununulia, natoa siku saba kwa soko lililojengwa na halmashauri kwa ajili ya biashara lianze kutumika‘ –Deogratius Ndejembi
Unaweza kuendelea kumsikiliza hapa….
ULIIKOSA HII KAULI YA TUNDU LISSU BAADA YA KUTOKA MAHAKAMANI