Mchungaji wa kanisa Toronto, Canada aliamua kumuua mke wake ambaye ni mjamzito wa miezi mitano ili aweze kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mmoja kati ya waumini wake.
Philip ambaye tayari alianza kuwa na uhusiano na muumini huyo huku mke wake Anne Karissa akiwa anajua kinachoendelea kati yao, lakini aliamua kumsamehe.
Pamoja na upendo wa mke wake kwake mchungaji huyo aliona hiyo haitoshi na kufanya uamuzi wa kumlewesha mke wake na kumzamisha kwenye maji bafuni ambapo baadaye alifariki huku akiwa na ujauzito huo wa miezi mitano.
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook