Wakazi wa Kibada Dar wadai kuna wamiliki wa viwanja walioamua kuwaweka nyoka ili walinde viwanja, shirika la mabasi ya UDA ladaiwa kufilisika kutokana na madeni makubwa…
Rais Kenyatta anasa Askari wawili waliokamatwa wakichukua rushwa, Waziri January Makamba amsimamisha kiongozi wa bomoabomoa kwa kukiuka kanuni za utumishi, mwanamke akamatwa kwa kutelekeza watoto wake na kuenda kuuza ba.
Mufti Mkuu wa Saudi Arabia azua mazito baada ya kushutumu mchezo wa drafti kuwa ni haramu na unapoteza muda.
Stori hizo na nyingine kubwa ziko kwenye hii sauti mtu wangu.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.