Ishu ya Wabunge Chenge na Prof. Tibaijuka kuhojiwa na Baraza la Maadili kuhusu sakata la Escrow, kugundulika kwa bei kubwa ambayo viungo vya Albino vinauzwa Geita pamoja na stori ya mchinjaji wa kundi la kigaidi la Islamic States kuwahi kuja TZ zimesikika kwenye uchambuzi wa kurasa za Magazeti kupitia Power Breakfast @CloudsFM.
Ipo story ya Deo Filikunjombe kusikitishwa na Mawaziri kutoka Mkoa wa Njombe kwa kushindwa kuusaidia Mkoa huo kukua na pia story ya Shaaban Kissu ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kondoa kuapishwa na Chiku Galawa, Mkuu wa Mkoa Dodoma.
Bonyeza play hapa kuusikiliza uchambuzi wote kama ulikupita, nikuombe radhi usikivu haukua poa sana kutokana na changamoto ya teknolojia mtu wangu.
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter, Instagram na Facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook