Moja ya picha iliyo-trend leo June 26, 2019 ni ya kusikitisha ambayo inamuonyesha mhamiaji kutoka Salvador na Binti yake mwenye umri wa miaka miwili ambao walifariki dunIa wakijaribu kuvuka mto Rio Grande kutoka Mexico kwenda Marekani imezua majonzi na hasira na kudhihirisha hatari zinazowakabili wanaotafuta hifadhi.
Oscar Martinez Ramirez mwenye umri wa miaka 25 pamoja na mkewe mwenye umri wa miaka 21 wakiwa na binti yao walifanya uamuzi hatari wa kuvuka mto kutoka Mexico hadi Marekani siku ya Jumapili alasiri, kwa mujibu wa ripoti ya mahakama ya Mexico
Via Metro & Femine Magazine