Serikali ya Uganda imeeleza mpango wake wa kutambulisha utaratibu wa kutoza kodi watumiaji wa mitandao ya kijamii kuanzia mwezi July ikiwa ni njia ya kuongeza mapato ya nchini.
Taarifa hii imetolewa na Waziri wa Fedha wa nchi hiyo Matia Kasaija hata hivyo suala hilo limepingwa na mwanaharakati wa haki za binadamu Rosebell Kagumire.
Mwanaharakati huyo ameeleza kuwa utaratibu huo unapelekea kupunguza uhuru wa kujieleza wa watu wa nchi hiyo.
Mtoto 1 kati ya 1000 upata ugonjwa wa kupinda miguu, Wataalmu wanaelezea tiba