Miongoni mwa maeneo yanayovutia sana visiwani Zanzibar ni Forodhani ambapo watu mbalimbali wakiwemo Watalii hata wazawa ufika eneo hilo kutalii.
Eneo hilo utumika kupumzika ama kuuza bidhaa mbalimbali vikiwemo Vyakula hapa Millardayo.com imekusogezea picha hizi zilizonaswa nyakati za Mchana.
Pia watalii mbalimbali utapata fursa ya kurekodi vipindi vyao.