Rais Samia Suluhu leo ameendelea na ziara yake ya kikazi mkoani Mwanza ikiwa ni siku ya pili, mapema amekagua ujenzi wa Daraja la JPM linalojengwa kati ya Kigongo na Busisi lenye urefu wa kilometa 3.2 na litagharumu karibu zaidi bilioni 714, ujenzi asilimia 27.