Leo November 12, 2020 Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Dkt. John Magufuli amependekeza jina la Mbunge wa Ruangwa Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu.
Majaliwa atadhibitishwa na bunge baadae kidogo ama kupitishwa au kukataliwa
BODYGUARD WA MAGUFULI AINGIA BUNGENI NA UJUMBE MZITO, JINA LA WAZIRI MKUU MPYA