Ni Rapper na mwanasiasa kutoka ACT- Wazlendo, Webiro Wassira a.ka. Wakazi ambae leo hii Agosti 2, 2021 ameujulisha umma kwa ujumla kwamba amejipatia chanjo ya kujikinga na Covid 19 (Uviko 19).
Staa huyo taarifa hiyo aliitoa kupitia ukurasa wake wa instagram na kuandika haya>>“Epuka mikusanyiko isiyo ya lazima. Nawa Mikono na maji tiririka (running water), tumia Sanitizer, Vaa Barakoa (Mask). Ukiweza Choma Chanjo, ili ikulinde zaidi Incase unakuwa exposed na Corona Virus”– Wakazi
“Hakuna kitu cha THAMANI kama AFYA (Uhai). Ilinde Afya yako kwa gharama zote”- Wakazi
TAZAMA SPIKA WA BUNGE, NDUGAI AKICHANJWA CHANJO YA UVIKO 19 DSM
TAZAMA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI GERSON MSIGWA AKICHANJWA CHANJO YA CORONA