NI Machi 25, 2021 ambapo mwili wa hayati Dkt John Pombe Magufuli unaagwa na Wananchi pamoja na viongozi mbalimbali huko Chato, sasa hapa nimekusogezea picha 4 za Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa ameshafika muda huu kwaajili ya kutoa heshima za mwisho kwa hayati Dkt John Pombe Magufuli.




LIVE: MWILI HAYATI RAIS MAGUFULI UKITOKA NYUMBANI KWAKE NA KUELEKEA VIWANJA VYA MAGUFULI CHATO