NI Machi 26, 2021 ambapo mwili wa hayati Dkt John Pombe Magufuli unafanyiwa ibada pamoja na mazishi huko Chato, sasa hapa nimekusogezea picha 5 za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa ameshafika muda huu kwaajili ya kushiriki ibada ya kumuombea hayati Dkt John Pombe Magufuli.




LIVE: IBADA YA MWISHO YA KUMUOMBEA HAYATI RAIS MAGUFULI – CHATO