Mbali na kwamba GSM wanajivunia Mapinduzi makubwa na kuwa brand namba moja inayotoa bidhaa na huduma za viwango vya kimataifa na shopping experience ya kipekee.
Sasa leo Mei 16, 2023 wametangaza kupunguza asilimia kadhaa kwa bidhaa hii ya ndani na kukupa fursa wewe mteja wao uweze kuinunua ili uweze kuinogesha nyuma yako.
Ambapo awali ilikuwa ikiuzwa Milioni Milioni 7 lakini leo hii wameishusha mpaka Milioni 4 Wahi sasa katika maduka yao ikiwemo Mikocheni, Mlimani, Masaki, Salamander, 🆕 Pugu, and Dodoma.
Kwa mawasiliano zaidi wapigie 0745 000 000 wakuhudumie kile unachohitaji kutoka GSM Mall.