Hivi ndivyo Mashabiki wa Yanga walivyojitokeza uwanja wa Mkapa leo wakisubiri mchezo wao wa marudiano wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Rivers United ya Nigeria.
Mchezo huo ulimaliza kwa bila bila huku Yanga SC ikifanikiwa kutinga katika hatua ya nusu fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) kwa mara ya kwanza katika historia yao.