Picha: Kutoka kwenye iftar ya GSM, Viongozi na wadau mbalimbali washiriki…
Share
2 Min Read
..
SHARE
Ni March 22, 2024 ambapo Jioni ya leo Mfanyabiashara na Rais kampuni ya GSM, Ghalib Said Mohamed ameandaa iftari ya pamoja iliyofanyika katika ukumbi wa The SuperDome uliopo Masaki Jijini Dar es Salaam.
Katika hafla hiyo mgeni rasmi alikuwa ni Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu huku kuhudhuriwa na Viongozi wengineo akiwemo Naibu Waziri wa Sanaa, Utamaduni na Michezo, Mwana FA
.Pichani:Mfanyabiashara na Rais kampuni ya GSM, Ghalib Said Mohamed akizungumza na Mkurugenzi wa kampuni ya Silent Ocean Ltd, Counsellor Salaah kwenye iftar hiyo iliyofanyika The Superdome Masaki jijini DSM.Pichani:Mfanyabiashara na Rais kampuni ya GSM, Ghalib Said Mohamed akizungumza na Mkurugenzi wa kampuni ya Silent Ocean Ltd, Counsellor Salaah kwenye iftar hiyo iliyofanyika The Superdome Masaki jijini DSM.Pichani:Mfanyabiashara na Rais kampuni ya GSM, Ghalib Said Mohamed akizungumza na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu kwenye hafla hiyo ......Pichani:Mkuu wa Wilaya ya Halima Bulembo akiwa ni miongoni waliofika kwenye iftar hiyo..