Ni Headlines za michuano ya Silent Ramadhan Cup 2024 ambapo baada ya kuzinduliwa jana Machi 12, 2024 na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na michezo Dkt Damas Ndumbaro katika viwanja vya JK Park Stadium.
Sasa leo imeanza rasmi michuano hiyo ya kumsaka bingwa ambae ataondoka na kiasi cha zawadi ya Tsh milioni 5.
Na Machi 13, 2024 zimekutana timu mbili AL Mahra dhidi ya JEFAG GROUP LTD Wakioneshana makali katika dimba la JK Park Stadium, hizi ni baadhi ya picha kutokea uwanjani hapo tazama.