Ni Machi 24,2022 ambapo Mwenyekiti wa TLP Dkt Augustino Mrema anatarajia kufunga ndoa na mke wake mpya katika la Kanisa Katoliki Parokia ya Umboni.
Millardayo.com & Ayo TV imeweka kambi katika shughuli hiyo na hapa tumekusogezea picha ushuhudie muonekano wa Mke mpya wa Mrema.


MREMA AFUNGUKA MAHARI ALIYOITOA KWA MKE WAKE MPYA “SUTI LAKI TATU, MAHARI MILIONI NNE”