Picha: PM Majaliwa atembelea banda la Asas, Maonesho maalum yaliyoandaliwa na Wizara ya Mifugo na Uvuvi Dodoma
Share
1 Min Read
.
SHARE
Ni Mei 2, 2023 Wizara ya Mifugo na Uvuvi imeanda maonesho maalum ambapo miongoni mwa waliopata fursa ya kuonesha bidhaa zao ni kampuni ya Unywaji wa Maziwa iitwayo Asas Ltd.
Na hapa nakusogezea baadhi ya picha ushuhudie akiwemo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa pamoja na Viongozi wa Serikali walivyofika katika banda la Asas kwenye viwanja hivyo vya Bunge jijini Dodoma.
.Pichani: Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Tulia Ackson akiwa na Viongozi katika kukata utepe katika banda la kampuni hiyo katika maonyesho yaliyoandaliwa na Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 2, 2023. kushoto ni Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega. ..Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka (Kushoto Mchekeshaji Joti), katikatika Fuad Jaffer, (Kulia Salama Jabir) kuhusu Maziwa ya kampuni hiyo katika maonyesho yaliyoandaliwa na Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 2, 2023. kushoto ni Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega.