Ni Machi 13, 2024 ambapo Rais Samia Suluhu Hassan amewaapisha Wakuu wa Mikoa ya Songwe, Mtwara, Tabora na Shinyanga, Naibu Katibu Mkuu (Muungano na Mazingira) pamoja na Mkurugenzi wa Kampuni ya Mabasi yaendayo Haraka (UDART) katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam.
.Pichani:Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Daniel Godfrey Chongolo kuwa Mkuu wa Mkoa wa Songwe kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Machi, 2024.
.Pichani: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Daniel Godfrey Chongolo kuwa Mkuu wa Mkoa wa Songwe kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Machi, 2024.
.Pichani:Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Kanali Patrick Kenan Sawala kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Machi, 2024.

.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Paulo Matiko Chacha kuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Machi, 2024.

.Pichani:Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Anamringi Macha kuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Machi, 2024.
.Pichani: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Anamringi Macha kuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Machi, 2024.
.Pichani: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Christina Solomon Mndeme kuwa Naibu Katibu Mkuu (Muungano na Mazingira) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Machi, 2024.

.Pichani: Wakuu wa Mikoa ya Songwe, Mtwara, Tabora na Shinyanga, Naibu Katibu Mkuu (Muungano na Mazingira) pamoja na Mkurugenzi wa Kampuni ya Mabasi yaendayo Haraka (UDART) wakila Kiapo cha Maadili kwa viongozi wa Umma kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Machi, 2024.
.