Ni Staa kutokea Nigeria, Magixx ambae tayari ameshatua nchini kwaajili ya kuwaburudisha Watanzania wakaofika siku ya kesho Julai 29, 2023 katika rooftop iliyopo Mikocheni Dar es Salaam.
Hizi ni baadhi ya picha zikionesha akiwa amewasili katika Airport ya Dar es Salaam JNIA.