Leo Februari 14 mwili wa Hayari Lowasa upo katika Kanisa la KKKT Azania Front kwa ajili ya ibada takatifu na kuaga na kwamba Alhamisi Februari 15 mwili wa Hayati Lowassa utasafirishwa hadi jijini Arusha ambapo viongozi na wananchi watapa fursa ya kuaga katika viwanja vya Sheikh Amri Abeid.