Siku ya leo April 23, 2022 kampuni ha usafirishaji Kwa njia ya Maji Silent Ocean imetimiza miaka 18 toka kuanzishwa kwake Kwa kuanza kutoa mizigo kutoka China kuileta Tanzania, kama Desturi ya kampuni hiyo imeendelea kuadhimisha siku hii kwa kufturu na wafanya Biashara wanaoitumia kampuni hii kwenye kuleta mizigo yao
Katika shughuli hii mgeni Rasmi ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Kinana.
Miongoni mwa viongozi waalikwa katika shughuli hii ni pamoja na Waziri wa TAMISEMI, Innocent Bashungwa, Waziri wa Maji Aweso, Mbunge Morogoro Vijijini Babu Tale, Mbunge wa Muheza MWANA FA na wengineo.