Leo July 6 2016 Jose Mourinho anakuwa ametimiza siku moja toka atambulishwe rasmi kama kocha wa Man United ndani ya Old Trafford, Mourinho ametimiza siku moja ndani ya Man United lakini leo July 6 amemsajili staa mpya ndani ya Man United.
Man United wamefanikiwa kumsajili Henrikh Mkhitaryan kutokea Borussia Dortmund kwa mkataba wa miaka minne, Mkhitaryan anakuwa mchezaji wa tatu kujiunga na Man United baada ya kusajiliwa kwa Eric Bailly kutoka Villarreal na Zlatan Ibrahimovic kama mchezaji huru.
GOLI LA MECHI YA YANGA VS TP MAZEMBE JUNE 28 2016, FULL TIME 0-1