April 9 2016 muziki wa dance ulipata msiba baada ya kuondokewa na mkali wa muziki wa dance Tanzania Ndanda Kosovo ambaye amefariki akiwa kwenye matibabu hospitali ya Muhimbili Dar es salaam.
ULIPITWA NA MAELEZO YA DAKIKA 5 MJOMBA AKIELEZEA DAKIKA ZA MWISHO KABLA YA NDANDA HAJAFARIKI? BONYEZA PLAY HAPA CHINI
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE