Baada ya picha iliyosambaa ikionyesha pikipiki iliyokuwa ndani ya basi liendalo kwa haraka jijini Dar es salaam millardayo.com na Ayo TV ilitaka kupata ufafanuzi kama jambo hili linaruhusiwa.
Afisa habari wa UDART, Deus Bugaywa, ametoa ufafanuzi huo na kusema…..>>> tumefuatilia iliingia wapi? kwa sababu gani na mahali gani? tunadhani picha itakuwa imetengenezwa kwa sababu tumefuatilia kwenye vituo vyetu na ni jambo ambalo haliruhusiwi kabisa na hakuna namna kwamba utabeba pikipiki au baiskeli yako ya kawaida isyo ya mlemavu unasafirisha mle ni jambo ambalo haliwezekani kabisa’
ULIKOSA HATUA HII YA SERIKALI KWA MADERVA WALIOGOMA BUKOBA? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI