Mchekeshaji maarufu bongo Mc Pilipili amezungumzia maisha yake jinsi alivyokuwa chuo na watu kukubali kipaji chake cha kuchekesha na kuamua kuwa mchekeshaji rasmi, hii ni interview yake alipokutana na Millard Ayo na kuzungumzia alipokuwa chuo kuna vitu vilimchochea kuachana na ualimu na kuwa mchekeshaji…..
‘mimi nilivyoona hata kama nikitulia tu watu wananiona nachekesha basi comedy ni kitu ambacho kiko ndani yangu na ni kitu ambacho siwezi kukikwepa so kuanzia hapo nikaanza kuwa fun na kuwa maarufu’
ULIKOSA HII YA MAMA MTOTO WA NEY WA MITEGO KUPATA KIFUNGO CHA NJE? UNAWEZA KUATAZAMA VIDEO HII HAPA CHINI
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE