Waziri Mstaafu wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Prof. Juma Kapuya amempongeza Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri kwa kusaidia kupitisha wazo la kuanzisha Wilaya ya Kaliua inayoongoza kwa ukusanyaji wa mapato ya ndani katika Mkoa wa Tabora.
“Mwanri na marehemu Selina Kombani walisimama kidete kuniibia siri hatimaye tukapata Wilaya ya Kaliua, alipoteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora nikasema sasa upele umepata mkunaji” Prof. Kapuya
LUCAS ANALIMA HEKA 3 KWA MGUU MMOJA, AMEGOMA KUWA OMBAOMBA