Waziri Mkuu Majaliwa leo amefanya ziara ya ukaguzi wa barabara na vituo mbalimbali vya mabasi yaendayo kasi jijini Dar es Salaam.
Katika ukaguzi huo Waziri Mkuu ameagiza mabasi hayo yaanze kazi haraka iwezekenavyo kabla ya January 10 2016 kwa kuwa hadi sasa inaonekana barabara, vituo na mabasi vimekamilika kwa asilimia kubwa.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.