Usiku wa Jumapili January 15 2018 baada ya kuiona video inayosambaa mitandaoni ya Mwanamke anaelalamika kuhusu nyumba yake kupigwa mnada, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda ameagiza yafuatayo.
Makonda ameandika “Mama yangu mpendwa, huna haja ya kumjua Mtu Mungu anatosha,kwanza nakupa pole kwa matatizo unayoyapitia na ninaamini Mungu atakupa haki kwani ndiye hakimu wa kweli siku zote“
“Kwa wanaomfahamu mama huyu naomba wamjulishe afike ofisini kwangu kesho saa 3:00 asbh hadi saa 5:00 aje na nyaraka zake tuone tunachoweza kufanya” – Paul Makonda
Tazama video ya Mama mwenyewe akiongea kwa kubonyeza play hapa chini (via Z4NEWS TV )
VIDEO: MAKOMANDOO WA TANZANIA WAKIPAMBANA BILA BUNDUKI…. BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUJIONEA