January 5, 2018 Gavana wa Benki ya Tanzania (BOT) Prof. Benno Ndulu alitangaza kuzifungia Benki tano ambazo alisema zimefilisika na hivyo kutokuruhsiwa kuendesha shughuli zozote za kibenki nchini, baada ya tangazo hilo la BOT kumezuka mijadala katika maeneo mbalimbali hasa ni kuhusu nini kitafanyika kwa watu waliokuwa na fedha katika Benki hizo.
Millardayo.com na AyoTV imeongea na Kaimu Mkurugenzi wa Bodi hiyo Richard Malisa ametolea ufafanuzi kuhusu watu walio na fedha zao katika Benki zilizofungiwa. Bonyeza PLAY hapa chini kumsikiliza.
BREAKING: BENKI KUU YA TANZANIA IMEZIFUNGIA BENKI TANO