Wapenzi wawili leo April 9, 2018 wamefikishwa mahakamani nchini Kenya kwa madai ya kulala kwenye hoteli moja jijini Nairobi na kuondoka bila kufanya malipo.
Inaelezwa kuwa wapenzi hao Roy Bennet Osano na Baeth Muthoni Kimani walikuwa wanadaiwa Shilingi za Kenya 140,200 sawa na takribani Shilingi za Kitanzania 3.084,400 kwa kukaa kwenye hoteli hiyo kwa kipindi cha wiki moja.
Watuhumiwa wanadaiwa kutenda kosa hilo kati ya January 4 na 11 mwaka 2017.
Hifadhi ya Saanane Mwanza, imekuja na mbinu mpya kuvutia Utalii.