Tanzania ni moja kati ya nchi ambazo zimeathirika sana na ishu ya ujangili wa wanyamapori… vita imeanzia Afrika na duniani kwa ujumla ambapo jitihada mbalimbali zimefanywa kuhakikisha biashara inayohusisha wanyama kama tembo inapigwa marufuku.
Taarifa imeripotiwa na Kituo cha ITV inahusu mradi wa kimataifa wa kuboresha mtandao wa maeneo ya hifadhi na ambapo tembo wanafungwa vifaa maalum vya kisasa kwa ajili ya kuwafatilia na kuwapa ulinzi.
Kazi tayari imeanza, zoezi la tembo kufunga vifaa hivyo limeanzia katika hifadhi ya taifa ya Ruaha pamoja na pori la akiba la Rungwa.
Story iko kwenye hii sauti pia kutoka kwenye habari ya Kituo cha ITV.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.