Baada ya kusambaa kwa video ikimuonesha Askati akimpiga mtuhumiwa aliyefungwa pingu Mahabusu kisha Jeshi la Polisi litatoa tamko kuwa watamchukulia hatua Askari aliyehusika na kitendo hicho.
Sasa kwa upande Sheria imekaaje, hapa tunae Wakili Jabir Hamza anafafanua zaidi.