Albamu ya tano ya studio ya Post Malone, “Austin,” iko realesed rasmi na post ya awali ilitangaza project hiyo kuachiliwa mnamo Mei, kwani pia ni albamu yake ya pili ya studio iliyotolewa,mwaka uliopita.
Austin ina nyimbo 19 kwa jumla na haina msanii yeyote aliyeshirikishwa.
Albamu ina jumla ya nyimbo 17 — ““Don’t Understand,” “Novacandy,” “Too Cool to Die,” “Sign Me Up,” “Socialite,” “Something Real” “Speedometer,” “Hold My Breath,” “Enough Is Enough,” “Texas Tea,” “Buyer Beware,” “Landmine,” “Green Thumb” and “Laugh It Off”.
Ngoma nyingine zikiwa “Chemical,” “Mourning” and “Overdrive” ziliachwa kabla ya kuwasili kwa albamu hiyo .
Nyimbo tatu za mwisho ziliorodheshwa katika nambari 13, 36 na 47 kwenye Billboard Hot 100.