Baada ya serikali kutangaza bajeti yake ya mwaka 2016/2017 huku moja ya vipaumbele vya ukusanyaji kodi ikilengwa kutoka kwenye kodi za wabunge, Mbunge wa Mwibara Kangi Lugola amesimama bungeni kupinga hatua hiyo ya serikali kuondoa msamaha wa kodi kwenye mafao ya wabunge.
Lugola amesema..>>>’Kila mwezi tunakatwa kodi ya mapato alafu mafao yetu nayenyewe yakakatwe kodi? mnataka turudi mtaani alafu muanze tena kutucheka. Lazima wabunge tulinde maslahi yetu, hatuwezi kukubali‘
ULIIKOSA HII? MBUNGE ROSE TWEVE HAJAPENDEZWA NA KINACHOENDELEA KWENYE MSITU WA SAO HILL
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE