Kamishna Jenerali wa Magereza Tanzania Dr. Juma Malewa amezielezea zile sekunde za Rais Magufuli alipokua akitangaza habari ya kuachiwa huru kwa Wafungwa mbalimbali kwenye Sherehe za miaka 56 ya Uhuru.
Miongoni mwa walioachiwa huru kwenye msamaha huo wa kihistoria ambao ni mara ya kwanza kutolewa Tanzania ni pamoja na Wanamuziki Babu Seya na mwanae Papi Kocha
Jenerali Malewa amesema wakati habari hizo zinatoka Papi Kocha ambae hupenda sana kucheza mpira gerezani alikua kwenye mpira ikabidi aitwe ili apewe taarifa, mtazame zaidi kwenye hii video hapa chini akiongea
VIDEO ILIYONASA BABU SEYA NA PAPI KOCHA WAKITOKA GEREZANI, TAZAMA HAPA CHINI
HD VIDEO: JPM ALIVYOTANGAZA KUWASAMEHE BABU SEYA NA PAPI KOCHA… BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA