Ni Wachezaji wa Young Africans ambao baada ya kumaliza shamra shamra za Wiki ya Mwananchi, sasa wamerejea kambini kujiandaa ama wakifanya mazoezi yao ya kila siku kwaajili ya kujiweka sawa kuelekea msimu mpya wa 2023/24.
Na leo Julai 28, 2023 nimekusogezea video hii ushuhudie Aziz Ki na Mkude wakishindana kufunga Magoli madogo.