Nchi nyingi katiba huruhusu kiongozi wa nchi kukaa madarakani kwa mihula miwili lakini nyingine zimekuwa zikibadilisha katiba zao ili tu waendelee kubaki madarakani.
Wapo marais wengine wa Afrika ambao wamevunja rekodi kwa kukaa madarakani kwa kipindi kirefu na wengine kusababisha hata migogoro ya kisiasa ndani ya nchi zao.
Wajue Marais waliovunja rekodi kwa kukaa muda mrefu madarakani.
PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia kuanzia kwenye siasa, muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata,pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>> YouTUBE