Kutoka nchini Iceland, supermarkets zote zimepigwa marufuku kuuza bidhaa zote ambazo zimetengenezwa kwa kutumia mafuta aina ya mtende.
Inaelezwa kuwa takriban nusu ya bidhaa zote zinazouzwa kwenye supermarket zimetengenezwa kwa mafuta hayo, kuanzia bidhaa za chakula hadi sabuni.
Marufuku ya bidhaa hizo imetokea kutokana na kinachodaiwa kuwa uharibifu mkubwa wa mazingira na misitu kwa kukata miti hiyo ili yapatikane mafuta hayo ambayo yanatumiwa kutengenezea bidhaa.
Jionee Jengo refu kuliko yote ARUSHA na la kwanza TANZANIA la utalii