AyoTV na millaradayo.com imempata Daniel Shari ambaye ni Dereva wa gari aina Canter ambayo iliyozama na Mv. Nyerere September 20 na kuuwa watu zaidi ya 200. Daniel anasema sio kwamba anajua kuogelea sana ila ni Mungu tu alimsaidia kwani alikuwa ndani ya gari.
Mzamiaji, afunguka walivyomuokoa Fundi Mkuu akiwa hai ‘alipewa chai majini’
LIVE MAGAZETI: ‘Fyekelea mbali’, Ya Lowassa kuwakumba Vigogo CCM, watapigwa